Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.JUL.18,2014 SAA 02:08 USIKU
Nahodha wa Ujerumani Philipp Lahm ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa (timu ya taifa).
Mlinzi huyo wa ambaye anasalia kukipiga katika klabu ya Bayern Munich,ana umri wa miaka 30 , amecheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa miaka 10 iliyopita, ameongoza nchi yake ambayo imetwaa Kombe la Dunia dhidi ya Argentina katika uwanja wa Rio de Janeiro wiki iliyopita ambapo alitimiza mechi yake ya 113 ya kimataifa.
Lahm alichukua jukumu kama nahodha katika Kombe la Dunia 2010 nchini Afrika Kusini, wakati Michael Ballack alipojeruhiwa, na alicheza kila dakika ya michezo yote saba ya Ujerumani na kucheza ubingwa nchini Brazil.
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments