Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.Jun. 19,2014 SAA 09:03 ALASIRI
"Maamuzi ya kikao cha matawi tulichokutana tunauagiza uongozi wa Yanga, wale wanachama wote walioongea katika vyombo
mbalimbali wasimamishwe ili taratibu za sheria zifuatwe" hayo yamesemwa na Mohamed Msumi ambaye ni Mwenyekiti wa matawi ya Yanga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hii leo.
mbalimbali wasimamishwe ili taratibu za sheria zifuatwe" hayo yamesemwa na Mohamed Msumi ambaye ni Mwenyekiti wa matawi ya Yanga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hii leo.
Katika hatua nyingine Msumi amesema wanahitaji wanachama wote kuwa na mshikamano na kufuata katiba ya Yanga, na mwanachama yeyote atakayekwenda kinyume na kanuni atachukuliwa hatua kali.
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
0 Comments