Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.Jun. 17,2014 SAA 18:23 ALASIRI
Arjen Robben anaonekana kama alimtia aibu Sergio Ramos kwa kutimua mbio za ajabu wakati wa mchezo
ambao Uholanzi iliwafunga hispania mabao matano kwa moja na kuwatia unyonge mabingwa hao watetezi wa dunia.
Mlinzi huyo wa Real Madrid alibaki nyuma huku Robben akikpepea tu; ilionekana Ramos alikuwa lezi.kwa mujibu wa takwimu za FIFA za baadaye ilionesha kwamba alikimbia 37km kwa saa na kwa kasi zaidi milele katika kumbukumbu ya mpira wa miguu.
Iker Casillas alieweza kuangalia tu MDutch huyo akimtoka na kupachika bao lake la pili usiku huo.
On his way: Holland's Arjen Robben recorded the world's fastest ever sprint during a game
And gone! The Dutchman set a world record speed of 37km/h as he breezed beyond Sergio Ramos
Blowing: Ramos (and defender Jordi Alba, back) couldn't keep up with Robben as he scored his second
Tukio hilo limeongeza pengo kati ya kocha Louis van Gaal na Vicente Del Bosque wakati wa mchezo huo wa ufunguzi.
Takwimu hizo zinanadai kwamba Arjen Robben mwenye umri wa miaka 30,amempita Theo Walcott ambaye katika rekodi ana 35.7kmph, wakati Cristiano Ronaldo ni wa sita katika orodha ya wachezaji wenye kasi milele.
THE TOP EIGHT SPRINTERS IN WORLD FOOTBALL
Arjen Robben: 37 km/h, Theo Walcott 35.7, Antonio Valencia 35.2, Gareth Bale 34.7, Aaron Lennon 33.8, Cristiano Ronaldo 33.6, Lionel Messi 32.5, Wayne Rooney 32.1
Made them look stupid! The 30-year-old checked back to beat Iker Casillas to notch Holland's fifth of the night
Habari zilizo sambaa zinasema kwamba eti,Robben anaweza kuwa mpinzani bora katika riadha kama akiongeza kasi yake kwa saba km / h tu polepole zaidi kuliko Usain Bolt.
ANGALIA VIDEO
<
0 Comments