FIFA haitamchukua hatua Arjen Robben baada ya mchezaji huyo kujiangusha katika mchezo ambao Uholanzi waliibuka
na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mexico.
Robben Ameripotiwa kuomba radhi kufuatia tukio la kujiangusha katika mchezo - "Lazima niombe radhi " "Moja ya [mwishoni] ilikuwa penalti, lakini zile nyingine dhahili zilikuwa za kujirusha kipindi cha kwanza". alisema Rubben mbapo timu yake ilipewa penalti dakika za mwishoni kabisa .
Ofisa habari wa FIFA Delia Fischer alisema kamati ya nidhamu bila kutafakari katika 'ukandamizaji mkubwa' wa sheria ya fair play - kujiangusha tu, hupewa kadi ya njano - na kwamba Robben atashughulikiwa lakini hakuna hatua itakayochukuliwa.
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
Training: Arjen Robben (far left) trains with his Holland team-mates and is to make a statement afterwards
Not enough sleep? Robben yawns during training after admitting to diving during the Mexico win
Admission: Arjen Robben has confessed to diving during the first half of Holland's victory over Mexico
Adamant: Robben, though, says he was fouled by Rafael Marquez for the 93rd-minute penalty
Turning point: Robben's left foot is clipped by the boot of Mexico defender Rafael Marquez
Tumble: Robben goes over and the Portuguese referee awards a penalty deep into injury time
Outraged: Mexico coach Miguel Herrera remonstrates with officials and Dutch players at full time
0 Comments