Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 11,2014 SAA 02:37 USIKU
Mwanachama wa klabu ya Simba SC Evans Elieza Aveva hii leo amekwenda kuchukuwa Fomu ya kugombea Urais wa klabu hiyo.
Mgombea huyo ambaye ameacha mshangao, kwani aliandamana na
msafara mkubwa wa watu ambao ulisababisha barabara yote ya msimbazi kutawala wapambe wa mgombea huyo.
Mgombea mwingine aliyechukuwa fomu ya kugombea Urais ni Endru Tupa,na Wilbad Emanuel Mayage yeye amechukuwa fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo.
Wagombea waliochukuwa fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe ni kama wafuatao.
Alfred Martin Elia,
Ally I. Suru
,Iddy Noor Kajuna,
George Wakuganda
Said H.Tully
Ramson Othuman Rutiginga
Suleman Abdul Denji
0 Comments