Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO:MASAA MACHACHE KABLA YA MECHI YA MARUDIANO KATI YA AL AHLY NA YANGA

 Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA March. 09,2014 SAA 12:03 JIONI

Ikiwa ni masaa machache kabla ya kuanza kwa mchezo marudiano kati ya mabingwa watetezi Al Ahly na Wawakilishi pekee wa
Tanzania kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika Young Africans Sports Club,katika Mechi itakayochezwa kuanzia majira ya saa 1kamili kwa saa za Misri sawa na saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki,mchezo utakaopingwa katika uwanja wa El Max Satdium jijini Alexandria

Sasa basi,tumia nafasi hii kutazama na kusikiliza ombi la Nahodha wa timu ya Yanga Nadir Haroub "Cannavaro"  kwa watanzania wote,alisema maneno haya mara baada ya mchezo wao wa kwanza uliofanyika katika uwanja wa taifa jijini  Dar es salaaam.

 Nadir Haroub "Cannavaro"katika dakika ya 82 ya mchezo,aliweza kuwainua vitini mashabiki wa timu ya Yanga na kuweza kuwanyamazisha mashabiki wachache wa timu ya Al Ahly ambao walijichanganya na wapinzani wa Yanga kwa Tanzani kwa kufunga bao pekee katika mchezo huo.

ANGALIA VIDEO  YA MAHOJIANO NA JAMII NA MICHEZO T.V



Post a Comment

0 Comments