Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA March. 10,2014 SAA 09:13 USIKU
Wawakilishi pekee wa Tanzania Young Africans wametolewa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika
na mabingwa watetezi Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3 kufuatia
kumalizika kwa dakika 90 za mchezo Al Ahly ikiwa na bao 1- 0 hivyo
kufanya
matokeo ya jumla kuwa 1-1 mchezo uliofanyika usiku wa jana katika
Uwanja wa El Max jijini Alexadria.
Wapigaji wa Young Africans waliopiga ni
Nadir Haroub - alifunga
Didier Kavumbagu - alifunga
Emmanuel Okwi - alifunga
Oscar Joshua - alikosa iligonga mwamba
Said Bahanuzi - alikosa ilitoka nje
Mbuyu Twite - alikosa iliokolewa na golikipa Ekramy
Al Ahly penati zao zilifungwa na
Abdalllah
Said, Gedo, Trezeguet na Mohamed Nagieb huku mlinda mlango Deo Munshi
akizipangua penati mbili za Saed Mowaeb na Hossan Ashour
VIDEO YA BAO LA AL AHLY
VIDEO YA PENATI
Kikosi cha Young Africans kilikuwa : 1.Dida, 2.Twite, 3.Oscar, 4.Cannavaro, 5.Yondani, 6.Domayo, 7.Msuva, 8.Ngasa/Chuji, 9.DKavumbagu, 10.Okwi, 11.Kizza/Bahanuzi
HAPA KIPA WA YANGA DIDA, ALIKUWA ANAFANYA NINI? TOA MAONI YAKO.



0 Comments