Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA March. 13,2014 SAA 12:0O JIONI
Mahakama
ya Ujerumani imemkuta na hatia ya kukwepa kulipa kodi Uli Hoeness ambaye ni Bosi wa klabu ya Bayern Munich hii
leo siku ya Alhamisi
na kumuhukumu bosi huyo wa soka ambaye aliibadilisha Bayern Munich kuwa moja ya
klabu yenye mafanikio zaidi dunia,kwa kwenda jela miaka mitatu na nusu.
Hoeness
amekubali kukwepa kulipa € 27.2 million katika kodi ya mapato ya chuma katika akaunti ya
siri nchini Uswis lakini meneja huyo wa Bayern Munich alikuwa na
matumaini ya msamaha kutokana na kesi hiyo ilivyokuwa ikiangaliwa kwa ukaribu ya ukwepaji
wa kodi,kutokana na historia ya Ujerumani.
Hoeness, 62, akainamisha kichwa chake kwa kuangalia chini ya ghorofa wakati hukumu hiyo ikitolewa,na uso wake iligeuka na kuwa mwekundu.
0 Comments