Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 22,2014 SAA 09:00 USIKU
Wayne
Rooney alimshukuru David Moyes siku ya Ijumaa usiku kwa kuokoa wasifu
wake katika klabu ya Manchester United baada ya kusaini mpango mpya wa miaka 4 utakaomuwezesha
kusalia Old Trafford hadi 2019,mkataba wenye thamani ya mshahara wa £ 300,000-wiki.| Yamekamilika:Rooney (katikati) na makamu mwenyekiti mtendaji Ed Woodward (kushoto) pamoja na meneja David Moyes |
Wayne pia anatarajiwa kuwa balozi wa Mancherster United mara tu atakapostaafu kucheza soka.
HORODHA MPYA YA MALIPO YA ROONEY'S KWA KILA KIPINDI
£15,600,000 KWA MWAKA
£300,000 KWA WIKI
£43,000 KWA SIKU
£1,800 KWA SAA 1
£30 KWA DAKIKA
50p KWA SEKUNDE
HII NI ORODHA YA WAPACHIKA MABAO WA UNITED WANAONGOZA KWA MUDA WOTE
1. Sir Bobby Charlton (1953-1973) - mabao 249 katika mechi 758
2: Denis Law (1962-1973) - mabao 237 katika mechi 404
3: Jack Rowley (1937-1955) - mabao 211 katika mechi 424
4: Wayne Rooney (2004 - hadi leo) - mabao 208 katika mechi 430
5: George Best (1963-1974) - mabao 179 katika mechi 470

0 Comments