Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:HAWA NDIO WACHEZAJI WATANO WALIO MAJERUHI KWA TIMU YA AZAM FC,KUELEKEA MECHI YA KIMATAIFA SIKU YA JUMAPILI

Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 4,2014 SAA 02:40 USIKU
Picha kwa hisani ya mtandao wa Azam Fc
Timu ya Azam fc ambayo inajiandaa na mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya michuano ya kombe la shirikisho barani
Afrika,dhidi ya timu kutoka Msumbiji Ferroviario de Beira, ambayo itapingwa katika uwanja wa Azam Complex ambapo uwanja huo umepewa kibali na shiikisho la mpira wa miguu Afrika ,kwa ajili ya kucheza mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Caf.
Jaffari Iddy
Na ngoma hiyo itapingwa siku ya Jumapili,na maandalizi kwa ajili ya mchezo huo yako vizuri kwa mujibu wa msemaji wa timu hiyo,Jaffari Iddy,lakini mpaka sasa wana majeruhi takribani watano.

Bonyeza Play kumsikiliza Jaffari Iddy akiwataja majeruhi hao. 
 <iframe width="100%" height="450"

Post a Comment

0 Comments