IMEWEKWA JANUARI 10.2014 SAA 03:34 USIKU
Jessica Ennis-Hill |
Kocha
Toni Minichiello na mwanamichezo mwenzake Lee McConnell wamemuunga mkono bingwa wa mashindano ya
Olimpic Jessica Ennis-Hill kustaafu akiwa katika kiwango cha juu baada ya
kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza.
Nyota huyo wa michezo ya Olimpiki 2012 na Balozi wa kudumu wa Sky Sports ametangaza yeye ni mjamzito na atakosa michezo ya Jumuiya ya Madola katika mjini Glasgow.
Lakini
kocha wa Ennis-Hill, Minichiello na mwanariadha wa 400m McConnell -wanaamini kwamba mwanamichezo huyo mwenye miaka 27 bado anaweza
kutimiza ndoto yake ya kutetea cheo chake cha Olimpiki mjini Rio mwaka
2016.
Minichiello aliiambia Sky Sports News
akisema: "Yeye amekuwa katika hatua nzuri ya mazoezi kwa wakati huu, kufanya vizuri mazoezi ya kurusha mkuki na Keith Hill na kufanya mazoezi ya kawaida ya kukimbia".
" Nguvu Kazi ni tofauti sana na mazoezi ya viungo na kukimbia, hivyo tutakuwa tunachukua hatua kwa wakati mmoja."
"Kuwa vizuri kwa mwezi Mei, hiyo itakuwa lengo la msingi, pamoja na uwezekano kwa msimu wa ndani kabla ya hapo."alisema Kocha
Toni Minichiello
0 Comments