IMEWEKWA JANUARI 12,2014 SAA 01:41 USIKU
 |
| Wachezaji wakiperuzi blog ya Coastal Union... |
 |
| Mwenyekiti Hemed Aurora akitafakari.. |
 |
| Kocha Chipo akiwacha kumbukumbu kisiwani leo jioni. |
 |
| Kocha Yusuf Chipo akitafakari mazoezi ya kesho.. |
 |
| Shaaban Kado na Mbwana Kibacha wakifurahia jambo. |
 |
| Kocha msaidizi, Ally Jangalu akipunga upepo katika kisiwa cha Al Sawad nje kidogo ya jiji la Muscat nchini Oman leo. |
Alasiri vijana wakajimwaga katika fukwe za Al Sawad, kwa ajili ya kutuliza akili na kupata chakula cha pamoja
CHANZO:www.coastalunionsc.blogspot.com
0 Comments