Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA DESEMBA 5.2013 SAA 06:44 USIKU
Luis Suarez amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Ligi kuu kufunga zaidi ya mara tatu (hat-tricks) dhidi ya wapinzani wao, wakati Raheem Sterling akifunga bao la mwishoni katika ushindi wa tano kwa moja dhidi ya Norwich City .
Nyota huyo wa Uruguay sasa amefunga mabao 11 katika mechi nne dhidi ya klabu hiyo ya Anglia Mashariki , na hii ilikuwa ni zaidi ya mara tatu katika wakati wake huo, na mara tatu kufunga akiwa na ubora wa juu.
Si tena:ulikuwa usiku mgumu kwa mlinda lango Canaries 'John Ruddy ambapo alilazimika kuwa mgonjwa kwa mshambuliaji huyo
|
Si sana anaweza kufanya: Ruddy akiketi chini huku Suarez akipongezwa na wachezaji wenzake wa Liverpool. |
Goli la kwanza la Suarez alifunga baada ya robo saa tu ya mchezo,na kuongeza tena matatu katika dakika ya 29,35 na 74 .bao la kutia faraja kwa upande wa Norwich City lilifungwa na Bradley Johnson katika dakika ya 83,kisha Raheem Sterling kuongeza tena bao la tano katika dakika ya 88.
Haraka: Raheem Sterling alihusika katika nguvu ya ushindi huo wa nguvu |
Kidole gumba mia mia:Brendan Rodgers alikuwa na furaha sana |
Liverpool alifanya mabadiliko matatu kutoka upande wao baada ya kufungwa na Hull City, wakati Norwich na wao walifanya badiliko moja tu kutoka mwishoni mwa wiki kwa Johnson kubadilishwa na Gary Hooper.
VIDEO YA MABAO
Subs not used: Jones, Toure, Moses, Sakho, Lucas.
Booked: Allen, Gerrard, Flanagan.
Goals: Suarez 19, 29, 35, 74, Sterling 88
Subs not used: Nash, Whittaker, Turner, Hooper, Garrido, Becchio, Murphy.
Booked: Johnson.
Goals: Johnson 83
Referee: Anthony Taylor 6.
Managers: Brendan Rodgers 7, Chris Hughton 6.
Manchester United imefungwa katika uwanja wa Old Trafford kwa mara ya kwanza katika miaka 21 kama timu yenye cheo cha ubingwa dhidi ya wapinzani wao ambao wamewapa njia zaidi kwa pengo juu yao katika msimamo wa ligi.
Tofauti: Moyes akionyesha sura ya huruma (kulia) lakini Bryan Oviedo akisherehekea na Sylvain Distin baada ya filimbi ya mwisho baada ya kufunga bao la ushindi katika uwanja wa Old Trafford.
Bryan Oviedo aliweza kuweka kimya kwa United katika dakika ya 85 na kuipatia pointi tatu timu yake ya Everton dhidi timu hiyo.
Katika hasara: David Moyes akitoa ishara kama timu yake ya Manchester United inaonewa dhidi ya timu yake ya zamani Everton
|
Moyes
ameitumikia Evaerton kwa miaka 11 kabla ya kuondoka na kuchukua
nafasi ya Sir Alex Ferguson katika uwanja wa Old Trafford mwishoni mwa majira ya joto na aliwakasilisha mashabiki wa Evarton na mwenyekiti wa klabu hiyo Kenwright baada ya kumchukua na Marouane
Fellaini na kumtaka kumchukuwa pia Leighton Baines kwa ofa,
pamoja £ 28million,kitendo kilichoonekana kuwa ni "matusi",lakini walifurahi baada ya muda walipo shinda bao 1-0 dhidi ya bosi wao wa zamani.
Romelu Lukaku akishangilia baada ya kutoa pasi iliyoweza kuwekwa katika wavu na Oviedo na kuondoka na ushindi. |
Tumefanya yetu: Bryan Oviedo akisherehekea na Romelu Lukaku baada ya kufunga bao la maamuzi |
Pigo: Nohodha wa United Nemanja Vidic anaonekana kusikitishwa baada ya kuona timu yake ina kwenda chini dhidi ya Everton tena katika uwanja Old Trafford |
Tulia mzee,usiogope: Moyes (kushoto) akikosoana na mirithi wake wa timu ya Everton Roberto Martine katika mchezo
|
Wote Tabasamu: David Moyes akibadilishana utani na Roberto Martinez baada ya mapambano ya Ligi Kuu katika uwanja wa Old Trafford |
Kumbukumbu: wachezaji United walitulia kwa dakika kuashiria kifo cha Busby babe Bill Foulkes
|
Na Marouane Fellaini akikutana uso kwa uso kwa mara ya kwanza tangu ahamie United dhidi ya klabu yake ya zamani,ukimuachilia mbali Wayne Rooney ambaye pia alitokea katika klabu hiyo.
Man United: De Gea 7; Rafael 5 (Nani 58, 5), Vidic 5, Smalling 7, Evra 7;
Fellaini 7, Giggs 6; Valencia 6, Kagawa 6 (Januzaj 58, 6), Welbeck 6
(Hernandez 81); Rooney 7.
Subs not used: Lindegaard, Evans, Cleverley, Young.
Bookings: Rooney.
Manager: David Moyes 6
Everton:
Howard 7; Coleman 6, Distin 6, Jagielka 7, Oviedo 6; McCarthy 6, Barry
7; Pienaar 5 (Osman 80), Barkley 6 (Deulofeu 69, 6), Mirallas 6; Lukaku
7.
Subs not used: Robles, Heitinga, Jelavic, Naismith, Stones
Bookings:
Manager: Roberto Martinez 6.
MOM: Tim Howard
Referee: Martin Atkinson 6.
Arsenal (4-2-3-1): Szczesny 6, Jenkinson 7, Mertesacker (c) 7, Koscielny 6, Monreal 6; Ramsey 8 (Arteta 80'), Flamini 6; Rosicky 6 (Wilshere 73'), Ozil 7, Cazorla 7; Bendtner 7 (Walcott 73').
Subs not used: Fabianski, Vermaelen, Giroud, Gibbs.
Hull (3-5-2): McGregor
7, Chester 5, Bruce 5, Figueroa 5; Elmohamady 5, Livermore 6,
Huddlestone 7, Meyler 6, Brady 5 (Rosenior 58'); Graham 4 (Boyd 58'),
Sagbo 4 (Gedo 73').
Subs not used: Harper, Koren, Fryatt, Faye.
Referee: Andre Marriner.
Attendance: 60,017.
Man of the Match: Aaron Ramsey.
ANGALIA VIDEO YA MABAO
Subs not used: Lindegaard, Evans, Cleverley, Young.
Bookings: Rooney.
Manager: David Moyes 6
Subs not used: Robles, Heitinga, Jelavic, Naismith, Stones
Bookings:
Manager: Roberto Martinez 6.
MOM: Tim Howard
Referee: Martin Atkinson 6.
Played
December 4, 2013 7:45 PM GMT
Emirates Stadium — London
Referee: A. Marriner
Attendance: 60017
December 4, 2013 7:45 PM GMT
Emirates Stadium — London
Referee: A. Marriner
Attendance: 60017
47′
Mesut Özil
Katika hali nzuri : Bendtner akishangilia baada ya kufungua bao kwa Arsenal ndani ya dakika mbili tu |
Mchezaji wa Ujerumani anawasalimuni umati wa mashabiki baada ya kufunga dao la pili kwa Arsenal |
Arsenal (4-2-3-1): Szczesny 6, Jenkinson 7, Mertesacker (c) 7, Koscielny 6, Monreal 6; Ramsey 8 (Arteta 80'), Flamini 6; Rosicky 6 (Wilshere 73'), Ozil 7, Cazorla 7; Bendtner 7 (Walcott 73').
Subs not used: Fabianski, Vermaelen, Giroud, Gibbs.
Subs not used: Harper, Koren, Fryatt, Faye.
Referee: Andre Marriner.
Attendance: 60,017.
Man of the Match: Aaron Ramsey.
ANGALIA VIDEO YA MABAO
England - Premier League
Played
December 4, 2013 8:15 PM GMT
The Hawthorns — West Bromwich
Referee: C. Foy
Attendance: 22943
December 4, 2013 8:15 PM GMT
The Hawthorns — West Bromwich
Referee: C. Foy
Attendance: 22943
Wachezaji wa Manchester City katika hisia mbalimbali ndani ya uwanja wa Hawthorns baada ya ushindi |
Wanyonge:
West Brom wako katika nafasi ya chini kidogo, inaweza ikawafanya kidogo
kuchanganyikiwa kwa upande wao katika msimamo baada ya kufungwa
|
Kupiga magoti :Kipa wa West Brom Boaz Myhill akipiga magoti baada ya kufungwa |
Surprise kwa mashabiki:Mstaafu bingwa wa Wimbledon Goran Ivanisevic alikuwepo katika uwanja wa Hawthorns |
Vipaji mbalimbali |
Subs not used: Popov, Lugano, Daniels, Sessegnon
Goal: Pantilimon 85 (OG), Anichebe 90
Booked: Olsson
Subs not used: Hart, Richards, Lescott, Negredo, Rodwell
Goals: Aguero 9, Toure 24, 74
Booked: Pantilimon
Ref: Chris Foy 7
Att: 22,943
ANGALIA VIDEO YA MABAO
Southampton 2
vs
3 Aston Villa
Played
December 4, 2013 7:45 PM GMT
St. Mary's Stadium — Southampton, Hampshire
Referee: J. Moss
Attendance: 29814
December 4, 2013 7:45 PM GMT
St. Mary's Stadium — Southampton, Hampshire
Referee: J. Moss
Attendance: 29814
48′
Jay Rodriguez
Libor Kozák
64′
Southampton (4-2-3-1): Gazzaniga 5; Clyne 7 (Fonte 59 5), Yoshida 4, Lovren 6, Shaw 7; Wanyama 4 (Cork 46 5), S Davis 5; Ward-Prowse 5 (Osvaldo 38 5), Lallana 6,
Rodriguez 7; Lambert 6.
Subs not used: Cropper, Chambers,
Hooiveld, Gallagher.
Goals: Rodriguez 48, Osvaldo 69
Booked: Lambert, Fonte, Osvaldo
Manager: Mauricio Pochettino 6
El Ahmadi 6 (Weimann 86), Westwood 5, Delph 6; Agbonlahor 7, Kozak 5 (Benteke 66).
Subs not used: Steer, Albrighton, Sylla, Tonev.
Goals: Agbonlahor 15, Kozak 64, Delph 80
Booked: Kozak, Weimann
Manager: Paul Lambert 6
Referee: Jonathan Moss 7
Man of the match: Jay Rodriguez
0 Comments