Ticker

6/recent/ticker-posts

ENGLAND NA WASIWASI JUU YA DANIEL STARRIDGE, DHIDI YA MECHI YA GERMANY

 Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA NOVEMBA 18.2013 SAA 02:56 USIKU
England's Daniel Sturridge (right) walks away from training session with physio Steve Kemp
Mshambuliaji wa England Daniel Sturridge anatia mashaka juu ya mechi ya kirafiki siku  Jumanne dhidi ya Ujerumani katika uwanja
wa  Wembley baada ya kuondoka mapema katika mazoezi leo  Jumatatu.
Mchezaji huyo amefanya mazoezi kwa dakika 45 siku ya leo Jumatatu asubuhi kabla ya kuondoka uwanja.
Mchezaji huyo wa Liverpool mwenye umri wa miaka 24 alikosa katika mechi ya kirafiki kwa sababu ya kuumia mguu, ambao walifunngwa na chile mabao 2 kwa 0 siku ya ijumaa . 

Lakini Daniel Sturridge na Kyle Walker wamethibitisha wao wako fit kwa ajili ya mechi dhidi ya  Ujerumani siku ya Jumanne.
Mchezaji wa Tottenham Walker, 23, pia alikosa kucheza katika mechi kadhaa kwa sababu ya tatizo misuli.
Wakati huo huo, Muingereza beki Phil Jones atakosa katika mchezo huo kwa sababu ya tatizo la mafindofindo.

Lakini bosi wa England Roy Hodgson ana matumaini anaweza kuwaita baadhi ya wachezaji ambao walikosa mchezo wa Chile na kuwapa nafasi katika mechi dhidi ya timu kali ya Ujerumani, ambao ni wa pili katika viwango vya Fifa vya dunia,nafasi nane juu ya England.

Post a Comment

0 Comments