Ticker

6/recent/ticker-posts

TANZANIA YASHUKA KATIKA VIWANGO VYA FIFA,ENGLAND YAZICHUKUA NAFASI ZAKE 7 WALIZODONDOKA KATIKA VIWANGO VILIVYOPITA,BRAZIL DOO! WE ACHA TU.

 Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA OKTOBA 17,2013 SAA 4:30 USIKU  

Timu ya soka ya Tanzania inayoongozwa na kocha Kim Pousin ,imeshuka kwa nafasi kwa nafasi 2 katika viwango vipya
vilivyotolewa na Shilikisho la soka Duniani FIFA.
Tanzania ambapo katika viwango vilivyopita ilikuwa katika nafasi ya  127 ikiwa na alama 239 na sasa iko katika nafasi ya 129 ikiwa na alama 242 ikilingana kwa alama pamoja na nafasi na nchi ya Rwanda ambayo imepanda kwa nafasi 2.

Kwa upande wa Afrika mashariki Uganda iko katika nafasi 85 kidunia,ikiwa na alama 431 na ikishuka kwa nafasi 4.Kenya iko pale pale yaani aijapanda wala kushuka katika nafasi yake ya  118 lakini ikiwa na alama 274,nchi ya burundi imepanda kwa nafasi 3 na iko katika nafasi ya 121 kidunia ikiwa na alama 267 na Rwanda na Tanzania zikiwa zimefumgana kama tulivyoeleza hapo juu,japokuwa katika viwango vilivyopita nchi ya Rwanda ilikuwa katika  nafasi ya 131 ikiwa na alama 23.

Na huko  kwa wenzetu timu ya Uingereza inayoongozwa na kocha Roy Hodgson imepanda kwa nafasi 7 na sasa iko katika nafasi ya 10 katika viwango vipya  FIFA.
Spain bado iko katika nafasi ya kwanza,lakini Brazil imeshuka kwa nafasi 3 na sasa iko katika nafasi ya 11 ikiwa na alama 1078.

VIWANGO VIPYA VYA  FIFA VILIVYOTOKA LEO


Oct 2013
RnkTeamPts+/- Pos
1 Spain15130Equal
2 Germany13111Up
3 Argentina1266-1Down
4 Colombia11781Up
5 Belgium11751Up
6 Uruguay11641Up
7 Switzerland11387Up
8 Netherlands11361Up
8 Italy1136-4Down
10 England10807Up
11 Brazil1078-3Down
12 Chile10514Up
13 USA10400Equal
14 Portugal1036-3Down
15 Greece983-3Down
16 Bosnia-Herzegovina9252Up
17 Côte d'Ivoire9172Up
18 Croatia901-8Down
19 Russia874-4Down
20 Ukraine8716Up
21 France8704Up
22 Ecuador862-2Down
23 Ghana8601Up
24 Mexico854-3Down
25 Sweden850-3Down
26 Denmark824-3Down
27 Czech Republic7835Up
28 Serbia77815Up
29 Romania7672Up
30 Slovenia752-1Down
31 Costa Rica7442Up
32 Algeria741-4Down
33 Nigeria7243Up
34 Honduras7206Up
35 Scotland71528Up
36 Panama702-1Down
37 Venezuela692-1Down
38 Armenia68717Up
39 Peru686-5Down
40 Turkey6709Up
41 Mali668-3Down
42 Cape Verde Islands6622Up
43 Hungary636-13Down
44 Japan634-2Down
44 Wales6348Up
46 Iceland6338Up
47 Norway632-8Down
47 Tunisia632-1Down
49 Paraguay613-8Down
49 Iran613-1Down
51 Egypt610-1Down
52 Burkina Faso598-1Down
53 Austria596-6Down
54 Montenegro584-27Down
55 Uzbekistan5822Up
56 Korea Republic5692Up
57 Australia564-4Down
58 Albania563-13Down
59 Cameroon5542Up
60 Republic of Ireland550-1Down
61 Libya5409Up
61 South Africa5407Up
63 Finland538-7Down
64 Senegal5302Up
65 Slovakia528-5Down
66 Israel5153Up
67 Zambia5134Up
68 Guinea5128Up
69 Poland503-4Down
70 Jordan5023Up
71 United Arab Emirates49611Up
71 Bolivia496-9Down
73 Sierra Leone493-1Down
74 Cuba49210Up
75 Togo4882Up
76 Bulgaria487-12Down
77 Morocco478-3Down
78 Dominican Republic4749Up
79 New Zealand470-12Down
80 Haiti464-2Down
81 Trinidad and Tobago4574Up
82 Jamaica456-4Down
83 Belarus441-3Down
84 Gabon438-1Down
85 Uganda431-4Down
86 FYR Macedonia430-11Down
87 Congo DR4114Up
88 Azerbaijan40719Up
89 El Salvador4044Up
90 Northern Ireland399-4Down
91 Congo3941Up
92 Oman3814Up
93 Angola380-4Down
94 Benin378-4Down
95 Ethiopia376-2Down
96 Moldova36933Up
97 China PR3652Up
98 Botswana3546Up
99 Estonia351-11Down
100 Georgia350-3Down
101 Saudi Arabia3388Up
102 Zimbabwe328-1Down
103 Lithuania3239Up
103 Iraq3232Up
105 Qatar3133Up
106 Liberia3128Up
107 Korea DPR3106Up
107 Central African Republic310-4Down
109 Kuwait3070Equal
110 Niger306-8Down
111 Canada296-5Down
112 Guatemala294-12Down
112 Antigua and Barbuda294-1Down
114 Guyana28616Up
115 Mozambique2821Up
116 Tajikistan2801Up
117 Latvia277-2Down
118 Kenya2740Equal
119 Equatorial Guinea273-21Down
120 St. Vincent and the Grenadines2712Up
121 Lebanon267-1Down
121 Burundi2673Up


123 Bahrain266-2Down
124 Malawi263-2Down
125 Turkmenistan2540Equal
126 New Caledonia249-31Down
127 Luxembourg247-1Down
128 Namibia246-1Down
129 Rwanda2422Up
129 Tanzania242-2Down
131 Suriname2374Up
132 Grenada233-13Down
133 Afghanistan223-1Down
134 Cyprus2190Equal
135 Kazakhstan216-3Down
136 Sudan2154Up
137 Philippines2134Up
138 St. Lucia2030Equal
139 Gambia202-3Down
140 Malta1922Up
141 Syria1832Up
141 Lesotho1836Up
143 Thailand181-4Down
144 Tahiti1792Up
145 Belize1780Equal
146 Palestine1753Up
147 St. Kitts and Nevis172-10Down
148 Hong Kong1710Equal
149 Myanmar16913Up
150 Kyrgyzstan161-6Down
151 Vietnam1592Up





  
152 Mauritania158-2Down
153 Nicaragua1550Equal
154 India1511Up
155 Singapore1494Up
156 Chad1482Up
157 Maldives147-5Down
158 Liechtenstein141-2Down
159 Puerto Rico1391Up
160 Malaysia1371Up
161 Bermuda127-4Down
162 Indonesia1208Up
162 São Tomé e Príncipe1201Up
162 Bangladesh1204Up
165 Nepal119-2Down
166 Sri Lanka1082Up
167 Laos1055Up
168 Pakistan1022Up
169 Dominica89-2Down
170 Curaçao884Up
171 Solomon Islands86-2Down
171 Guam864Up
173 Barbados82-22Down
173 Aruba82-8Down
175 Faroe Islands817Up
176 Chinese Taipei79-1Down
177 Yemen72-4Down
178 Samoa62-1Down
178 Mauritius62-1Down
180 Madagascar57-1Down
181 Guinea-Bissau56-1Down






       
182 Vanuatu53-1Down
183 Swaziland493Up
183 Mongolia492Up
185 Fiji472Up
186 American Samoa432Up
186 Tonga432Up
188 Bahamas403Up
189 Montserrat334Up
190 Comoros323Up
191 US Virgin Islands30-1Down
192 Cayman Islands290Equal
193 Brunei Darussalam26-11Down
193 Timor-Leste26-11Down
195 Eritrea240Equal
196 Seychelles230Equal
197 Papua New Guinea210Equal
198 Cambodia201Up
199 British Virgin Islands18-2Down
200 Andorra160Equal
201 Somalia140Equal
202 Djibouti111Up
202 Cook Islands111Up
204 South Sudan101Up
204 Macau10-2Down
206 Anguilla30Equal
207 Bhutan00Equal
207 San Marino00Equal
207 Turks and Caicos Islands00Equal






































































































































































































Down

Post a Comment

0 Comments