IMEWEKWA OKTOBA 23,2013 SAA 9:09 ALFAJIRI
Kwa
meneja kuwa na tamaa ya ushindi ni jambo la kawaida ,lakini si kwa Jose Mourinho kwake imepitiliza katika mchezo wa ligi ya
Mabingwa katika ardhi ya
Ujerumani, lakini usiku wa jana kulikuwa na mambo mengi ya kufurahia.![]() |
| Kevin-Prince Boateng akipambano ili kudhibiti mpira kwa Ramires |
![]() |
| Ushindi mzuri: Jose Mourinho akiwa na furaha baada ya kazi nzuri ya mshambuliaji wa Kihispania |
Chelsea walifanikiwa kuibuka na ushindi wa nabao 3 kwa 0,ushindi iliowafanya kuwapindua kwa tofauti ya magoli Schalke 04 lakini wote wana alama 6 katika msimamo wa kundi E.
Mabao mawili ya Chelsea yaliwekwa nyavuni na Fernando Torres katika dakika ya 5 na 69 pamoja na Eden Hazard 87.
![]() |
| Andre Schurrle akipasua katikati |
![]() |
| Torres alifunga bao baada ya dakika tano tu |
![]() |
| Kevin-Prince Boateng akikabiliana na John Terry |
Kikosi cha Schalke: Hildebrand 6, Uchida 6, Höwedes 6, Matip 6, Aogo 6, Neustadter 7, Jones 6 (Kolasinac 70, 5), Clemens 7, Meyer 6 (Goretzka 79), Draxler 6, Boateng 5 (Szalai 70, 6).
Akiba wasiotumika: Fährmann, Hoogland, Felipe Santana, Fuchs.
Kadi za njano: Jones, Neustadter.
Kocha: Jens Keller 6
Kikosi cha Chelsea: Cech 7, Ivanovic 7, Cahill 6, Terry 7, Azpilicueta 7, Ramires 7, Lampard 7, Schurrle 6 (Mikel 72, 6), Oscar 7 (David Luiz 84), Hazard 6 (Eto'o 88), Torres 8.
Akiba wasiotumika: Schwarzer, Bertrand, Willian, Mata.
Wafungaji: Torres 5, 69, Hazard 87.
Kadi ya njano: Cahill.
KOcha: Jose Mourinho 7
Refa: Viktor Kassai (Hungary).
Walihudhulia: 54,442
Man of the Match: Fernando Torres
| |
|---|






0 Comments