Ticker

6/recent/ticker-posts

PATA UHONDO WA MATOKEO YA MICHEZO YOTE:ROONEY NA GERRARD WAIVUSHA ENGLAND KWENDA BRAZIL,SHABIKI WA POLAND ATAKA KUHALIBU MCHEZO,UKREINE YAWAPIGA VIBONDE SAN MARINO 8 BILA MAJIBU

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA OCTOBA 16,2013 SAA 06:52 USIKU

Mabao ya Wayne Rooney na Steven Gerrard yamewawezesha vijana wa Roy Hodgson kuweza kwenda nchini Brazil kushiriki
kombe la dunia mwakani baada ya  timu ya England kuichapa Poland mabao 2 kwa 0 katika mchezo uliopingwa katika dimba la
Wembley.
Mvamizi: shabiki Poland aliingia katikati ya uwanja wa Wembley
Rooney (ardhini) akisheherekea bao la kwanza
England ambayo imejikita kileleni mwa kundi H kwa tofauti ya alama 1 na timu ya Ukraine ambayo nayo imepata ushindi mkubwa wa mabao 8 kwa 0 kutoka katika timu ya San Marino.
England ilijipatia bao la kwanza kupitia kwa Wayne Rooney  katika dakika ya 41 baada ya kupokea pasi kutoka  kwa Leighton Baines na Rooney akaionganisha kwa kichwa,nahodha Steven Gerrard akizidisha furaha baada ya kupachika bao la 2 katika dakika ya 88.
 kiongozi: nahodha wa Uingereza Steven Gerrard alifunga bao la pili
Furaha: Gerrard akifuhi akiwa na uhakika  wa tumu ya Uingereza  kuwa watapanda  ndege  kwenda Brazil
Flare play: Mashabiki wa Kipolishi  wakisheherekea katika uwanja wa Wembley kabla mpira kuaza
Smiles bora: Kocha wa England Roy Hodgson akifurahi baada ya ushindi
 Angalau sasa hakutakuwa na vichwa vya habari kama hivi katika magazeti
kumbukumbu Mbaya : Sportsmail walichapisha magazeti haya baada ya sare dhidi ya Poland miaka 40 iliyopita ambayo imesababisha Uingereza kukosa Kombe la Dunia 1974 

Kikosi cha England: Hart, Smalling, Cahill, Jagielka, Baines, Gerrard, Carrick (Lampard 71), Townsend (Milner 86), Rooney, Welbeck, Sturridge (Wilshere 82). Subs: Subs: Ruddy, Jones, Gibbs, Milner, Barkley, Defoe, Sterling, Lambert, Forster.
Kadi za njano: Lampard, Rooney.
Wafungaji: Rooney 41, Gerrard 88.
Kikosi cha Poland: Szczesny, Wojtkowiak, Jedrzejczyk, Glik, Celeban, Blaszczykowski, Mierzejewski (Zielinski 75), Krychowiak, Sobota (Pezsko 65), M Lewandowski (Klich 46), R Lewandowski. Subs: Boruc, Wasilewski, Jodlowiec, Polanski, Wawrzyniak, Sobiech, Rzezniczak, Fabianski.
Kadi za njano: Jedrzejczyk
Refa: Damir Skomina (Slovenia).
Waliohudhulia: 85,186
MATOKEO YA MICHEZO MENGINE KUFUZU KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZILI MWAKANI 


World Cup qualifiers - Europe | RESULTS


15 October
Belgium1 - 1 Wales
Uwanja ni Brussels

15 October
England2 - 0 Poland
Wayne Rooney (41)
Steven Gerrard (88)

Uwanja ni Wembley


15 October
France3 - 0Finland
Franck Ribery (8)
Karim Benzema (87)

Joona TOIVIO (og 76)
Uwanja ni Paris

15 October
Montenegro2 - 5Moldova
Uwanja ni Podgorica

15 October
San Marino0 - 8Ukraine
Uwanja ni Serravalle
15 October
Spain2 - 0 Georgia
Alvaro Negredo (26)
Juan Mata (61)

Uwanja ni Albacete


15 October
Faroe Islands0 - 3Austria
Uwanja ni Torshavn
15 October
Ireland Republic3 - 1Kazakhstan
Dublin

15 October
Italy2 - 2Armenia
Alessandro Florenzi (25)
Mario Balotelli (76)

Yura Movsisyan (5)
Henrikh Mkhitaryan (70)
Uwanja ni Naples

15 October
Sweden3 - 5Germany
Tobias Hysen (6)
Alexander Kacaniklic (42)
Tobias Hysen (69)

Mesut Özil (45)
Mario Götze (53)
André Schürrle (57)
André Schürrle (66)
André Schürrle (76)
Uwanja ni Solna


15 October
Serbia5 - 1Macedonia
Uwanja ni Jagodina
15 October
Bulgaria0 - 1Czech Republic
Uwanja ni Sofia


15 October
Denmark6 - 0Malta
Uwanja ni Copenhagen
15 October
Latvia2 - 2Slovakia
Uwanja ni Riga

15 October
Hungary2 - 0Andorra
Uwanja ni Budapest
15 October
Norway1 - 1Iceland
Uwanja ni Oslo

15 October
Romania2 - 0Estonia
Uwanja ni Bucharest

15 October
Turkey0 - 2Netherlands
Uwanja ni Istanbul


15 October
Azerbaijan1 - 1Russia
Uwanja ni Baku
15 October
Greece2 - 0Liechtenstein
Dimitrios SALPINGIDIS (7)
Georgios Karagounis (81)

Uwanja ni Piraeus


15 October
Israel1 - 1Northern Ireland
Uwanja ni Ramat Gan
15 October
Lithuania0 - 1Bosnia-Herzegovina
Uwanja ni Kaunas


15 October
Portugal3 - 0Luxembourg
Silvestre Varela (30)
Nani (36)
Helder Postiga (79)

Uwanja ni Coimbra

15 October
Cyprus0 - 0Albania
Uwanja ni Nicosia

11 October
Spain2 - 1Belarus
Hernandez Xavi (61)
Alvaro Negredo (78)

Sergei Kornilenko (89)
Uwanja ni Palma De Mallorca

11 October
Portugal1 - 1Israel
Ricardo Costa (26)
Eden BEN BASAT (85)
Uwanja ni Coimbra


11 October
England4 - 1Montenegro
Wayne Rooney (49)
Andros Townsend (78)
Daniel Sturridge (pen 90)

Branko Boskovic (og 62)
Dejan Damjanovic (71)
Uwanja ni Wembley

11 October
Germany3 - 0Ireland Republic
Sami Khedira (12)
André Schürrle (58)
Mesut Özil (90)

Uwanja ni Cologne


11 October
Greece1 - 0Slovakia

Martin Skrtel (og 44)
Uwanja ni Piraeus

11 October
Iceland2 - 0Cyprus
Uwanja ni Reykjavik

11 October
Slovenia3 - 0Norway
Uwanja ni Maribor
11 October
Sweden2 - 1Austria
Uwanja ni Solna


11 October
Wales1 - 0Macedonia
Uwanja ni Cardiff
11 October
Albania1 - 2Switzerland
Uwanja ni Tirana


11 October
Andorra0 - 4Romania
Uwanja ni La Vella

11 October
Estonia0 - 2Turkey
Uwanja ni Tallinn

11 October
Luxembourg0 - 4Russia
Uwanja ni Luxembourg

11 October
Netherlands8 - 1Hungary
Robin van Persie (15)
Kevin Strootman (24)
Jermain Lens (37)
Robin van Persie (42)
Robin van Persie (52)
Rafael Van der Vaart (85)
Arjen Robben (89)

Szilard DEVECSERI (og 64)
Uwanja ni Amsterdam


11 October
Denmark2 - 2Italy
Nicklas Bendtner (46)
Nicklas Bendtner (79)

Pablo Osvaldo (28)
Alberto Aquilani (90)
Uwanja ni Copenhagen

11 October
Bosnia-Herzegovina  4 - 1  Liechtenstein
Uwanja ni Zenica


11 October
Ukraine1 - 0Poland
Uwanja ni Kharkov

11 October
Malta1 - 4Czech Republic
Uwanja ni Ta'Qali


11 October
Faroe Islands1 - 1Kazakhstan
Uwanja ni Torshavn
11 October
Azerbaijan2 - 0Northern Ireland
Uwanja ni Baku

11 October
Croatia1 - 2Belgium
Uwanja ni Zagreb

11 October
Moldova3 - 0San Marino
Uwanja ni Chisinau

11 October
Lithuania2 - 0Latvia
Uwanja ni Vilnius
11 October
Armenia2 - 1Bulgaria
Uwanja ni Yerevan

Post a Comment

0 Comments