Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA OCTOBA 2,2013 SAA 09:26 USIKU
Nahonda wa Celtic Scott Brown alipewa kadi nyekundu na kufanya timu yake ya Celtic kuweza kushindwa dhidi Barcelona
ambao walipata ushindi mwembamba wa Ligi ya mabingwa katika Kundi H ulipigwa katika uwanja wa Celtic Park.
ambao walipata ushindi mwembamba wa Ligi ya mabingwa katika Kundi H ulipigwa katika uwanja wa Celtic Park.
Mafanikio ya Barcelona yalikuja baada ya kutolewa Scott Brown kwa kadi nyekundu,na hiyo ni kwa sababu alimsukuma Neymar pamoja na kimpiga teke ( kwa makusudi)
VIDEO YA KADI NYEKUNDU ALIYOPEWA SCOTT BROWN
![]() |
| Neymar alianguka chini baada ya kusumwa na nahodha wa Celtic Scott Brown |
![]() |
| Wachezaji wa Celtic wakimpinga refa kwa uamuzi wakumtoa Brown kwa kadi nyekundu katika dakika ya 59 |
Bao pekee la Barselona lilipatikana kwa kichwa kipitia kwa mchezaji Cesc Fabregas katika dakika ya 76.
VIDEO YA GOLI LA CESC FABREGAS
Lineup, Bookings (7) & Substitutions (6)
Celtic
- 01 Forster
- 04 Ambrose
- 03 Izaguirre Booked
- 05 van Dijk
- 23 Lustig Booked (Forrest - 70' )
- 21 Mulgrew
- 02 Matthews
- 08 Brown Dismissed
- 15 Commons (Pukki - 86' )
- 09 Samaras Booked
- 10 Stokes (Kayal - 70' )
Substitutes
- 18 Rogic
- 49 Forrest
- 20 Pukki
- 33 Kayal
- 17 Baldé
- 24 Zaluska
- 06 Biton
Barcelona
- 01 Valdés
- 22 Dani Alves
- 15 Bartra
- 21 Adriano
- 03 Piqué
- 08 Iniesta (Song - 89' )
- 16 Busquets Booked
- 06 Xavi
- 11 Neymar
- 04 Fábregas Booked (Tello - 78' )
- 07 Pedro (Sánchez - 74' Booked )
Substitutes
- 09 Sánchez
- 17 Song
- 12 dos Santos
- 13 Pinto Colorado
- 20 Tello
- 24 Sergi
- 02 Montoya
Ref: Stéphane Lannoy



0 Comments