Ticker

6/recent/ticker-posts

LIGI KUU TZ BARA :RATIBA YA KESHO NA MSIMAMO MPAKA SASA

Na.Boniface Wambura,.IMEWEKWA OCT. 31,2013 SAA 11:05JIONI
 
Raundi ya 12 ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaendelea kesho (Novemba 1 mwaka huu) kwa mechi kati ya JKT Ruvu na Yanga itakayochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
kuanzia saa 10 kamili jioni.

Viingilio katika mechi hiyo ni sh. 5,000, sh. 8,000, sh. 15,000 na sh. 20,000 kwa VIP A. Tiketi zitauzwa siku ya mechi uwanjani katika magari maalumu kuanzia saa 4 asubuhi.
Novemba 2 mwaka huu kutakuwa na mechi nne; Mgambo Shooting na Coastal Union (Uwanja wa Mkwakwani, Tanga), Tanzania Prisons na Oljoro JKT (Uwanja wa Sokoine, Mbeya), Azam na Ruvu Shooting (Azam Complex, Dar es Salaam), na Mtibwa Sugar na Rhino Rangers (Uwanja wa Manungu, Morogoro).
Raundi hiyo itakamilika Novemba 3 mwaka huu kwa mechi moja ambapo Mbeya City itakuwa mwenyeji wa Ashanti United kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Mechi za kukamilisha mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo zitachezwa Novemba 6 na 7 mwaka huu. Novemba 6 ni JKT Ruvu vs Coastal Union, Ashani United vs Simba, Kagera Sugar vs Mgambo Shooting, Rhino Rangers vs Tanzania Prisons na Ruvu Shooting vs Mtibwa Sugar.
Novemba 7 mwaka huu, Azam itacheza na Mbeya City wakati Yanga itacheza na Oljoro JKT kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.











TEAMS P W D L GF GA GD PTS
Azam FC 11 6 5 0 17 7 10 23
Mbeya City 11 6 5 0 16 8 8 23
Young Africans 11 6 4 1 24 11 13 22
Simba SC 11 5 5 1 21 10 11 20  
Ruvu Shootings 11 4 4 3 13 10 3 16
Kagera Sugar 11 4 4 3 12 9 3 16
Mtibwa Sugar 11 4 4 3 16 15 1 16
Coastal Union 11 3 6 2 10 6 4 15
JKT Ruvu 11 4 0 7 9 12 -3 12
Rhino Rangers 11 2 4 5 9 15 -6 10
Ashanti United 11 2 4 5 10 19 -9 10  
Tanzania Prisons 11 1 5 5 6 15 -9 8
JKT Oljoro 11 1 4 6 8 16 -8 7  
Mgambo JKT 11 1 2 8 3 21 -18 5  
TOTAL 77 24.5 28 24.5 174 174 0 203  











Up to Match No.63
 

GOAL SCORER JNO CLUB GOALS PEN
Jerson Tegete 10 Young Africans 3  
Bakari Kondo 19 JKT Ruvu 3  
Jonas Mkude 20 Simba 3 1
Simon Msuva 27 Young Africans 1  
Didier Kavumbagu 7 Young Africans 4  
Haruna Niyonzima 8 Young Africans 1  
Nizar Khalfan 16 Young Africans 1  
Shabani Hamidu 7 Ashanti United 1  
Masoud Ally 7 Mtibwa Sugar 1  
Juma Luzio 9 Mtibwa Sugar 5  
Aggrey Moris  13 Azam  1 1
Gaudence Mwaikimba 24 Azam FC 1  
Seif Karihe 21 Azam FC 1  
Abdi Banda 22 Coastal Union 1  
Crispine Odula 50 Coastal Union 1  
Jerry Santo 6 Coastal Union 3  
Salum Machaku 11 JKT Ruvu 3  
Emmanuel Swita 12 JKT Ruvu 1  
Abdallah Bunu 17 JKT Ruvu 1  
Haruna Chanongo 6 Simba 3  
Imma Noel 3 Rhino Rangers 1  
Ally Ahmed 16 Rhino Rangers 1  
Elias Maguli 10 Ruvu Shootings 5 1
Lambele Jerome Ruben 11 Ruvu Shootings 1  
Paul Nonga 26 Mbeya City 3  
Steven Mazanda 8 Mbeya City 1  
Full Z Maganga 10 Mgambo JKT 1  
Henry Joesph 14 Simba 1  
Betram Mwombeki 23 Simba 2  
Saad H Kipanga 20 Rhino Rangers 1  
Amiri Omar 11 JKT Oljoro 1  
Mwagane Yeya 9 Mbeya City 2  
Temi Felix 7 Kagera Sugar 4  
Mcha Khamis 22 Azam FC 1  
Amosi Mgisa 7 JKT Ruvu 1  
Peter Michael 21 Tanzania Prisons 4  
Hamisi Tambwe 17 Simba 8 2
Saidi A. Dilunga 25 Ruvu Shootings 1  
Shaibu Nayopa 12 JKT Oljoro 2 1
Malegesi Mwangwa 6 Kagera Sugar 1  
Kipre Herman Tchetche 10 Azam 4 1
Anthony Matagalu 13 Ashanti United 1  
Salum Tabay 22 Rhino Rangers 1  
Cosmas Lewis 3 Ruvu Shootings 1  
Malimi Busungu 16 Mgambo JKT 1  
Msafiri Hamis 25 Rhino Rangers 1  
Shaban Nditi 4 Mtibwa Sugar 1  
Paul Malipesa 15 JKT Oljoro 1  
Richard Peter 13 Mbeya City 1  
John Bocco 19 Azam 1  
Hamis Kiiza 20 Young Africans 5  
Joseph Kimwaga 27 Azam 1  
Daudi Jumanne 12 Kagera Sugar 1  
Selemani Kibuta 3 Kagera Sugar 1  
Haruna Moshi 17 Coastal Union 2  
Shaban Kisiga 10 Mtibwa Sugar 1  
Tumba Sued 2 Ashanti United 4  
Paulo Maona Telly 10 Ashanti United 1  
Peter Mapunda 19 Mbeya City 2  
Expedito Kiduko 28 JKT Oljoro 1  
Kamana Salum 7 Rhino Rangers 1  
Hussein Abdallah 24 Rhino Rangers 1  
Mrisho Ngassa 17 Young Africans 3  
Shija Mongo 11 Rhino Rangers 1  
Jeremiah John 23 Mbeya City 2  
Alex Seth 10 Mbeya City 1  
Nurdin Mohamed 5 JKT Oljoro 1  
Fakir Mohamed 3 JKT Oljoro 1  
Farid Mussa Maliki 17 Azam FC 1  
Mwinyi Ally   Ashanti United 1  
Abdallah Salum   Mtibwa Sugar 3  
Humphrey Mieno   Azam FC 1  
Erasto Nyoni   Azam FC 1  
Salum A. Salum 8 Azam FC 1  
Ramadhani Singano 11 Simba 1  
Joseph Owino 15 Simba 1  
Gilbert Kaze 12 Simba 1  
Swalehe Idd   JKT Oljoro 1  
Godfrey Wambura 20 Kagera Sugar 1  
Salum Kanoni 2 Kagera Sugar 1  
Matei John Arsen   Tanzania Prisons 1  
TOTAL     139  





Excluding Own Goals




Post a Comment

0 Comments