Ticker

6/recent/ticker-posts

GARETH BALE ATAJWA KATIKA KIKOSI CHA WALES JAPOKUWA NI MAJERUHI

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA OCTOBA 3,2013 SAA 02:36 USIKU

Gareth Bale ametajwa  katika kikosi cha Wales kitakachopambana na Macedonia na Belgium - lakini aidha si kwa ajili ya ..................

  kucheza katika mechi.
Bale - mchezaji wa ghali zaidi duniani  - amekosa mechi ya Real Madrid katika UEFA Champions League dhidi ya  FC Copenhagen siku ya Jumatano usiku kwa sababu ya kuumia mguu.
kocha wa Real  Carlo Ancelotti alikuwa tayari amebainisha Bale kukaa "siku 15" kwa kupumzika - kitu kilichothibitishwa na bosi  wa Wales Chris Coleman ambaye alisema mchezaji huyo walikuwa pamoja kabla kuumia.
Coleman aliiambia Sky Sports News: "Wakati mwingine kupata ripoti ya (matibabu) kutoka katika  klabu  kusema kuwa wachezaji wana matatizo - lakini tunataka nafasi ya kufanya kazi na wachezaji na kama nimepata nafasi na kuna dirisha dogo basi wanaweza kucheza sehemu fulani.
"nimezungumza na daktari wetu jana -badaa ya hapo tunatarajia kikosi  cha klabu kilichotolewa na labda anaweza  akaanza aliseema Coleman, -lakini ripoti zilizozibitishwa kutoka katika klabu ya  Madrid ni kwamba mchezaji huyo ana hali  mbaya zaidi na anaakaa nje angalau wiki mbili.

Kikosi cha Wales: Myhill, Hennessey, Fon Williams, B Davies, Gabbidon, Gunter, Matthews, Ricketts, Taylor, A Williams, Allen, Collision, John, King, Ledley, Ramsey, Vaughan, Bale, Bellamy, Church, Robson-Kanu, Vokes. 

Post a Comment

0 Comments