Ticker

6/recent/ticker-posts

TOTTENHAM HOTSPUR YAIFUMUA TIMU YA ZAMANI YA ETO'O NYUMBANI KWAO

  Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA OCTOBA 3,2013 SAA 03:26 USIKU

Michuano ya Europa League au Uefa ndogo imeeendelea hii leo na moja ya mchezo uliokuwa ukitupiwa macho ulikuwa ni kati ya Timu
ya Tottenham Hotspur ambayo imeichapa mabao 2 kwa 0  timu ya Anzhi Makhachkala aliyokuwa anaitumikia mchezeji mpya wa
Chelsea Samuel Eto'o, mchezo uliopigwa katika uwanja wa Saturn Stadium,
Jermain Defoe akifunga bao la kwanza katika dakika ya 34
Mabao yote mawili ya kikosi hiko kinachoongozwa na kocha Andre Villas-Boaz yalipatikana katika kipindi cha kwanza kupitia kwa mchezaji Jermain Defoe katika dkika ya 34,pamoja na Nacer Chadli katika dakika ya 39.
Nacer Chadli naye alipatia timu ya Tottenham Hotspur bao la pili katika dakika ya 39.
Mashabiki wa kweli: Mashabiki wa Spurs walikuwa sambamba na timu yao nchini Urusi
Kikosi cha Anzhi: Pomazan, Angbwa (Gadzhibekov 79), Tagirbekov, Adeleye, Ewerton, Jucilei, Ahmedov, Razak, Solomatin, Serderov (Yeschenko 56), Abdulavov (Traore 45).
Akiba wasiotumika : Kerzhakov, Grigalava, Gatagov, Demidov.
Kikosi cha Spurs: Lloris, Walker, Kaboul (Dawson 71), Chiriches, Fryers, Holtby (Eriksen 78), Dembele, Chadli, Sandro, Lamela (Sigurdsson 72), Defoe.
Akiba wasiotumika : Friedel, Soldado, Naughton, Kane.
Wafungaji: Defoe 34, Chadli 39.
Refa: Bulent Yildirim (Turkey)

Post a Comment

0 Comments