Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 15,2013 SAA 8:08 USIKU
![]() |
Bale wa Madrid : Winga wa zamani wa Tottenham Gareth Bale anafurahia mechi yake ya kwanza na goli lake la kwanza kwa kuonyesha alama yake ya biashara
|
Ni goli la 203 katika michezo 203 kwa Cristiano Ronaldo; na goli la kwanza katika mchezo wa kwanza kwa Gareth Bale,na hiyo ilikuwa
katika mchezo wa usiku wa kuamkia leo uliomalizika kwa sare ya mabao 2 kwa 2 kati ya Villarreal na Real Madrid.![]() |
Mwanzo mzuri:Kuanza kubwa: Bale akisheherekea kwa pamoja na Daniel Carvajal
|
Haikuwa raisi kwa Real Madri lakini Gareth bale alipata bao lake la kwanza dakika ya 38 katika timu hiyo,bao lililokuwa ni la kusawazisha kwa timu ya Real Madrid kwani tayari Villarreal walikuwa wameshapata bao la kuongoza kupitia kwa mchezaji wao Ruben Cani katika dakika ya 21.
![]() |
| Villarreal walifunga bao la ufunguzi kupitia kwa Cani dakika ya 21 |
![]() |
| Furaha: Bale alikuwa ni furaha kupitiliza alivyo funga goli,na kumfanya kocha Carlo Ancelotti kunyanyuka katika kiti. |
![]() |
Wameanza kucheza kwa pamoja:: Bale na Cristiano Ronaldo wamepangwa kwa mara ya kwanza kuanza kuchzea katika timu hiyo
|
![]() |
Watu Muhimu: wachezaji watatu ambao wanategemewa kwa sasa ndani ya Madrid,Isco(kushoto), Ronaldo na Bale
|
Katika kipindi cha pili katika dakika ya 60 kilifanyika mabadiliko kwa timu ya Real Madridi kwa kumtoa Gareth Bale na kumuingiza Di Maria,ndipo kukamuongezea kasi Cristiano Ronaldo na kuweza kuipatia Real Madrid bao lao la pili katika dakika ya 64.
![]() |
| Kwani nini, Gareth?: Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuwapatia Madrid bao la pili kuongoza, muda mfupi baada ya Bale kubadilishwa |
Lakini lakini wahenga wanasema nyumbani ni nyumbani,kwani kwa nguvu ya mashabiki na hali ya kasi ya mchezo walioionyesha vijana wa Villarreal,wakaweza kuchomoa kupitia kwa mchezaji wa zamani wa Barcelona na Tottenham Hotspur kabla hajaamia Mallorca na kuchukuliwa na Villarreal kwa uhamisho uliofanyika July 9, 2013,hapo Jamii na Michezo inamzungumzia Giovani dos Santos Ramírez,aliyepachika bao zuri katika dakika ya 70,na mpaka ngoma inamalizika mabao ni mawili kwa mawili.
![]() |
Mchezaji wa zamani wa Spurs : Giovani Dos Santos (katikati) waliwai kucheza pamoja na Bale wakiwa Tottenham
|
![]() |
| Ngumu kuamini: Bale na wenzake wakiangalia wakati wachezaji wa Villarreal wakishangilia |
![]() |
| Mgumu: kocha bora wa Real Madrid Carlo Ancelotti , na wachezaji wake wengi wapya |
![]() |
| Maagizo: Pamoja na kikwazo cha lugha, Bale alijaribu kuelekeza wenzake |
| Kikosi cha Real Madrid: Diego Lopez,
Carvajal, Pepe, Ramos, Nacho, Illarramendi (Khedira 60), Modric, Bale
(Di Maria 60), Isco, Ronaldo, Benzema (Morata 72) Akiba wasiotumika : Casillas, Casemiro, Jesé, Llorente wafungaji: Bale, Ronaldo kikosi cha Villareal: Asenjo, Mario, Musacchio, Dorado, Costa, Aquino, Trigueros, Bruno, Cani, Giovani, Pereira (Uche 64). Akiba wasiotumika: Carlos, Perez, Pina, Iniguez, Perbet, Gabriel. wafungaji: Cani, Giovani |
| |











0 Comments