Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 19,2013 SAA 9:00 USIKU
Tiketi ya Arsenal katika mchezo wao wa kwanza hapo jana wa ligi ya mabingwa ulaya,imewekewa dhamana fulani: baada ya kupata
ushindi uliotukuka wa mabao 2 kwa 1 wakiwa ugenini dhidi ya timu ya Marseille.![]() |
| Theo Walcott akiipatia Arsenal bao la kwanza |
![]() |
| Walcott akishangilia bao lake |
Bao la Theo Walcott ndani ya dakika ya 65 na Aaron Ramsey katikia dakika ya 84 yalitosha kuipa ushindi Arsenal na kuondoka na auheni katika kundi lao (F) la kifo baada ya hapo jana timu ya Borussia Dortmund kuchapwa mabao 2 kwa 1 na timu ya SSC Napoli.
![]() |
| Zamu yangu:Aaron Ramsey akiipatia Arsenal bao la pili |
Bao la kufutia machozi la timu ya Marseille lilifungwa kwa mkwaju wa penalti na Jordan Ayew katika dakika ya 90 ya mchezo huo.
![]() |
Faraja: Jordan Ayew akiweka mpira wa adhabu nyavu
|
![]() |
| Si mchezo : Mesut Ozil naye alikuwepo akiisaidia Arsenal |
![]() |
| Arsenal waliona wanapaswa kupewa penalti baada ya mguu kutua katika kichwa cha Per Mertesacker |
![]() |
| Arsene Wenger akiwa na kisura cha furaha |
![]() |
| Namba moja: Walcott akisalimia umati baada ya filimbi ya mwisho kilia |
Kikosi cha Marseille: Mandanda, Fanni, N'Koulou, Mendes, Morel, Romao, Imbula (Thauvin 79), Payet (J.Ayew 72), Valbuena (Khalifa 89), A.Ayew, Gignac
Akiba wasio tumika : Samba, Mendy, Cheyrou, Lemina,
Mfungaji : J.Ayew (90 PEN)
Kikosi cha Arsenal: Szczesny, Gibbs, Koscienly, Mertesacker, Sagna, Flamini (Myaichi 90), Wilshere, Ramsey, Ozil, Walcott (Monreal 77), Giroud
Akiba wasio tumika : Fabianski, Vermaelen, Jenkinson, Hayden, Akpom
Wafungaji: Walcott (65), Ramsey (83)












0 Comments