Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 19,2013 SAA 10:00 USIKU
Chelsea imepata kipigo cha mabao 2 kwa 1 wakiwa nyumbani Stamford Bridge kutoka kwa timu ya Basel katika mchezo wa
kwanza wa Jose
Mourinho wa Ligi ya Mabingwa.
Nahiyo inakuwa ni aibu kubwa kwa kocha huyo kwani kabla ya mchezo alijitapa sana kuibuka na ushindi kwa kutoa mfano kuwa atairudisha Chelsea katika zama zake za zamani kwani sasa ana kikosi kizuri akikifananisha na kuku na mayai na anakipenda sana kiasi cha kukikumbatia wakati wa baridi.
![]() |
| Nyota wa Chelsea:Oscar alishinda bao la kwanza ndani ya eneo la penalti |
![]() |
Hakuna kuacha hii: Salah akipiga bunduki nzuri iliyomshinda kipa wa Chelsea Petr Cech
|
![]() |
| Marco Streller (pili kulia) akiibia na kuipatia Basel bao la pili alilofunga kwa kichwa baada ya kupigwa kona |
![]() |
Ishara ya kutoridhika: shabiki Chelsea akionyesha hasira yake baada ya ukosefu Juan Mata wa katika kipindi cha kwanza
|
![]() |
| kuangalia kwa uchungu: Jose Mourinho anateseka tu baada ya kushindwa mechi yake ya pili katika uwanja wa Stamford Bridge |
Katika mchezo chelsea ndio walikuwa wakwanza kujipatia bao kupitia kwa Oscar 45,na mabao ya Basel yalipatikana katika dakika ya 71 kupitia kwa Mohamed Salah na Marco Streller katika dakika ya 81,bao alilofunga kwa kichwa baada ya kupigwa kona.
![]() |
| Kutafakari: Gary Cahill, Oscar na John Obi Mikel wakitafakari juu ya kushindwa kwao |
Kikosi cha Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Luiz, Cole, Oscar, van Ginkel (Mikel 75), Lampard (Ba 76), Willian (Mata 67), Eto'o, Hazard.
Akiba wasiotumika : Schwarzer, De Bruyne, Terry, Azpilicueta.
Kadi ya njano: van Ginkel .
Mfungaji: Oscar 45.
Kikosi cha Basel: Sommer, Voser, Schar, Ivanov, Safari, Salah (Xhaka 88), Diaz, Frei, Stocker (Ajeti 83), Sio (Delgado 65), Streller.
Subs Not Used: Vailati, Philipp Degen, David Degen, Sauro.
Kadi ya njano: Diaz.
Wafungaji: Salah 71, Streller 82.
Waliohudhulia: 38,000
Refa: Daniele Orsato (Italy).
![]() |
| Nahodha John Terry alibaki kwenye benchi hakucheza usiku jana |
![]() |
Nyie fungweni mimi nakula maraha tu: Abramovich inatumia muda wake juu ya maji nchini Croatia wakati wa likizo yake.
|
Katika hatua nyingine mmiliki wa klabu hiyo ya Chelsea Romam
Abramovich hakuonekana kuwa na wasiwasi juu ya kuanza vibaya kwa The Blues katika msimu huu,kwani alionekana akipata mapumziko kwa kuota jua nchini Kroatia.
![]() |
| Barabara ya safari: Roman Abramovich ameweka picha katika mtandao akiwa katika kisiwa cha Mljet nchini Croatia |
Billionaire huyo wa
Kirusi alionekana katika picha na mashabiki akiwa na mavazi ya kuendesha baiskeli na alionekana pia akizunguka kusini mwa kisiwa cha Kikroeshia Mjini Mljet siku ya Jumanne.
![]() |
| Ndani ya maji: Abramovich akiwa baharini |
![]() |
| Cheers: Abramovich anafurahia na kunywa pamoja na kupunguza machungu kwa kuzunguka katika kisiwa |
















0 Comments