Ticker

6/recent/ticker-posts

KIFAA KINACHOFANYA KIDOLE KUONGEA CHAGUNDULIWA

Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 10,2013 SAA 3:12 USIKU 
Kampuni ya Disney imeleta  maendeleo baada ya kugundua kifaa  cha kusambaza sauti kwa njia ya mwili wa binadamu.

Teknolojia  hiyo inayojulikana kama Ishin-Den-Shin inatumia kipaza sauti  kurekodi sauti na baada ya hapo huibadilisha kuwa
katika hali isiyosikika na kuisambaza kwa njia ya mwili wa mtu aliyeshika kipaza sauti.
Ikiwa umegusa sehemu ya ndani ya sikio la mtu, sauti ya msemaji hai inaundwa na ujumbe hufika  kwa mtu mwingine kama  mnanong'onezana.
Sauti inaweza kupitishwa kutoka mtu kwa mtu na kutumia mawasiliano yeyote ya kimwili. 
Teknolojia, ambayo ilitengenezwa katika  katika kampuni ya utafiti ya Disney Utafiti mjiwa  Pittsburgh nchini marekani, ilipokea heshima wiki hii baada ya kuorodheshwa katika tamasha la Ars Electronica mjini Linz, Austria. 

VIDEO IKO HAPO CHINI  
 

Post a Comment

0 Comments