Ticker

6/recent/ticker-posts

SHINJI KAGAWA AMLILIA DAVID MOYES,BAADA YA KUCHANGANYIKIWA KWA KUTOPEWA NAFASI KATIKA KIKOSI CHA BOSS HUYO MPYA.

 Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 11,2013 SAA 1:46 USIKU
Kiungo wa Manchester United Shinji Kagawa  ameonyesha hali ya  kuchanganyikiwa baada ya kutopewa kipaumbele na bosi mpya David Moyes.
Kagawa:"Tafadhali muulize David Moyes kwanini anipangi?
Kagawa, ambaye ulisainiwa na Sir Alex Ferguson katika msimu uliopita,alicheza kwa  dakika saba wakati Moyes akiwa katika timu
hiyo,akitokea katika  benchi  katika mechi ya Community Shield  ambapo walishinda dhidi ya Wigan  mwezi Agosti.
Lakini, baada ya kufunga bao zuri katika mchezo wa kirafiki wa timu yake ya taifa la Japan ambao waliibuka na ushindi wa  3-1 dhidi ya  Ghana siku ya jana, mchezeshaji huyo alikili  kukata tamaa na juu ya jukumu lake ndani ya Old Trafford. 
Shinji Kagawa alifunga goli moja zuri ndani ya Dk.50 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Ghana.
"Tafadhali muulize David Moyes kwa nini mimi sio pendekezo lake,"alisema Kagawa alipokuwa akiongea na shirika la habari AFP. 
Aliongeza"Ananikatisha tamaa si kucheza bali kushinda goli ni kama kunifanya mimi kuweza kujiamini,natumaini  anaweza kuchukua jukumu la kunirudi katika klabu yangu na mimi kuboresha mambo machache". 
"Ni vigumu kucheza mara kwa mara, Baadhi ya siku huchanganyikiwa, ni mbaya zaidi kuliko wengine"alifafanua Kagawa
"Hivyo naona vizuri kuja nyumbani Japan na kupata kucheza,na kufunga magori mazuri". 
"Mimi nitaendelea kufanya kazi ngumu na kuweza kusukuma nafasi yangu,ikiwa mimi nitarudi katika klabu yangu,nitaweza kuleta  changamoto". 
"Kama nitarudi katika klabu yangu,nitaweza kusubiri nafasi yangu katika Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu,na  nina uhakika nafasi yangu atakuja."alimalizia Shinji Kagawa.

Post a Comment

0 Comments