Ticker

6/recent/ticker-posts

KWELI MPIRA UNADUNDA: CELTIC YACHOMOA MABAO 2 NA KUONGEZA BAO 1 DHIDI YA SHAKHTER KARAGANDY NA KUFANIKIWA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI YA LIGI YA MABINGWA

 Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA AGOSTI 28,2013 SAA 7:00usiku
Celtic imefanikiwa kuingia katika hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani ulaya,na hiyo ni baada ya kuichapa mabao 3 kwa 0 timu ya Shakhter Karagangy katika mchuano wa mzungumzo wa pili uliochezwa Jumatano usiku.
Anagongelea msumali wa mwisho: Forrest ndiye aliyefunga bao la ushindi katika dakika ya 90.
 Katika mchezo wa awali uliopingwa katika dimba la Shaktyor,huwezi amini Celtic ilitoka kapa baada ya kuchapwa na
Shakhter Karagangy  mabao  2  kwa 0,lakini usiku wa jana Celtic imeweza kubadilisha matokeo hayo kwa kurudisha mabao mawili waliyo fungwa kisha kuongeza moja,na kuifanikisha tumu hiyo kutinga katika hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwa jumla ya mabao 3 kwa 2.
Shujaa: Forrest akishangilia baada ya kuiokoa Celtic 
Rundo juu:Meneja wa Celtic Neil Lennon anaungana katika kusheherekea baada ya Forrest kushinda bao la mwisho.
Kris Commons ndiye aliyekuwa wa kwanza kuandika bao la kwanza la Celtic katika dakika ya 45,kiSha Georgios Samaras katika dakika ya 48,akaipatia Celtic  bao la pili na hatimaye James Forrest akishindilia bao la tatu na la mwisho katika dakika ya mwisho kabisa ya mchezo huo na kuifanya timu hiyo kuondoka kifua mbele.
 Commons alishinda  bao la kwanza,kutoka katika yadi ya 25
imoo,ndaniii!
Commons:"jiangalie wewe ,mziki mkubwa huu"
Kikosi cha Celtic: Forster, Matthews, Ambrose, Mulgrew, Lustig, Brown, Commons (Boerrigter 79), Ledley, Forrest (van Dijk 90), Samaras, Stokes.
Akiba wasiotumika: Zaluska, Izaguirre, McGeouch, Balde, Watt.
wafungaji: Commons 45, Samaras 48, Forrest 90.
kadi ya njano: Ledley.
kikosi cha Shakhter Karagandy: Mokin, Vasiljevic, Poryvaev, Dzidic, SImcevic, Vicius, Malyi, Finonchenko (Zenkovich 83), Ghazaryan, Canas, Khiznichenko.
Akiba wasiotumika: Pokatilov, Tarasov, Gabyshev, Baizhanov, Darabayev, Murtazaev.
kadi za njano: Simcevic, Vicius, Zenkovich, Canas.
Refa: Svein Oddvar Moen (Norway).
Giorgos Samaras akipachika bao la pili
Malengo ya juu,: Samaras anasheherekea
Ruka juu: Scott Brown na Gediminas Vicius wa Shakhter Karagandy
Gumzo:  Wachezaji wa Celtic wakisherehekea ushindi wao baada ya kipenga cha mwisho kupulizwa
Kuruka kwa furaha: Kocha wa Celtic Neil Lenno akisheherekea kwa mbembe baada ya ushindi

                                                MATOKEO MENGINE YA MICHEZO YA JANA USIKU
Add caption






Post a Comment

0 Comments