Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA.AUG 30,2018 SAA 11:05 JIONI
Afisa habari wa BMT Najaha Bakari
Baraza la michezo la tafa BMT limetangaza kuanza kwa mchakato wa
uchaguzi mkuu wa chama cha mchezo wa Baiskeli nchini CHABATA ambao
umepangwa kufanyika Oktoba 06 jijini Dodoma.
Afisa habari wa BMT Najaha Bakari amesema mchakato wa uchaguzi wa
CHABATA umeanz rasmi hii leo kwa zoezi la kuchukua fomu kwa wagombea
nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho.
BOFYA CHINI KUSIKILIZA
...
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates
0 Comments