Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO:UNAKUTANA NA MTU UNAYEMPENDA ,KISHA UNAWAZA YALE UNAYOYASIKIA JUU YAKE

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.May.17,2018 SAA 01:58 USIKU
Delicate " ni wimbo ulioandikwa na mwimbaji wa Marekani Taylor Swift , uliopo katika albamu yake ya sita,Reputation (2017).
Ilitolewa Machi 12, 2018.

Swift aliandika wimbo huo kwa kushirikiana na watayarishaji Max Martin na Shellback .
"Delicate" umeandikwa kama wimbo wa upendo wa miondoko ya electropop ya mapenzi.

Na wimbo huu unahusu "kinachotokea wakati unapokutana na mtu unayemtaka awe wako katika maisha yako na kisha kuanza kuhangaika, juu ya yale unayoyasikia kabla ya kukutana naye.
ANGALIA VIDEO 
>..

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates

Post a Comment

0 Comments