Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO:Nyimbo inaitwa 1,2,3 Sofía Reyes akiwa na Jason Derulo na De La Ghetto

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL.4,2018 SAA 09:40 ALASIRI

" 1, 2, 3 " ni wimbo wa mwimbaji wa Mexico Sofía Reyes akiwa na waimbaji wa Marekani Jason Derulo na De La Ghetto .


Nyimbo imetolewa Februari 16, 2018,Nyimbo imeandikwa na na Reyes, Derulo, Ghetto, Nicole Zignago, Ricardo Montaner, Jon Leone na Charlie Guerrero.

Wakati akizungumzia kuhusu wimbo, Sofía Reyes alisema;

"Nimekuwa na wasiwasi sana juu ya hii nyimbo na siwezi kusubiri Crew yangu kuisikia." 1, 2,3 "ni mchanganyiko wa kipekee wa aina tatu tofauti za mitindo (Latin, pop na mtaani) ambayo imeleta style mpya , lakini bado kuna asili yangu.

Video ya muziki kwa wimbo, iliyoongozwa na Mike Ho, ilifanyika huko Los Angeles . 
ANGALIA VIDEO


..>>>...

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates

Post a Comment

0 Comments