Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO MPYA:SNURA - VUMBI LA MGUU

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL.4,2018 SAA 09:45 ALASIRI
Mwana Dada,Snura ambaye ametesa na nyimbo kama Majanga na Chura,amerudi tena na video ya Nyimbo yake Vumbi la Mguu.
katika Nyimbo hii Snura ameigiza katika Sehemu Tofauti kama
Fundi magari,na Mama lishe  kama kuwapa hamasa vijana na watanzania Kwa ujumla kufanya kazi.

ANGALI VIDEO


..>>>...

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates

Post a Comment

0 Comments