Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.MARCH.15.2018 SAA 04:38 USIK
Kamati Maadili ya Shirikisho la Soka Nchini (TFF) imemfungia maisha
Makamu wa Rais wa shirikisho hilo, Michael Wambura
kutojihusisha na
masuala ya soka kwa makosa matatu.
Mara baada ya hukumu hiyo,Mwenyekiti wa kamati hiyo ya maadili, Hamidu
Mbwezeleni,amezungumza na kueleza mambo matatu ya Kufahamu.
Pia Wambura Mwenyewe amezungumza na kueleza Matarajio yake,baada ya
maamuzi ya kufungiwa maisha kutangazwa na kamati ya maadili ya TFF.
BOFYA CHINI KUSIKILIZA

0 Comments