Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.01.2018 SAA 02:40 USIKU
Maelezo yaliyotolewa na mlinda mlango wa klabu ya Shupavu FC
inayoshiriki ligi daraja la pili Khalifa Mgwira mara baada ya
mchezo wa kombe la shirikisho (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya Azam FC yamepokelewa na uongozi wa shirikishola soka nchini TFF.
mchezo wa kombe la shirikisho (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya Azam FC yamepokelewa na uongozi wa shirikishola soka nchini TFF.
Khalifa Mgwira alihojiwa mara baada ya mchezo huo na kutoa sababu za
kupoteza dhidi ya Aam FC kwa jumla ya mabao matano kwa sifuru, huku
akisisitiza kuwa walikuwa na (Njaa), ambapo anadai Tff ilishindwa
kuwafikishia fedha za maandalizi.
TFF wametoa Tamko.
BOFYA HAPO CHINI KUSIKILIZA
0 Comments