Ticker

6/recent/ticker-posts

Drake-Anawaza namna ya kutoa zaidi ya Dola Million 1

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.21:2018 SAA 01:50 USIKU

Drake anasema kutoa karibu dola milioni 1 wakati akiachia video yake ya muziki hivi karibuni ilikuwa mojawapo ya mambo bora
ambayo amewahi kufanya ... na sasa anafikiri jinsi ya kuweza kukizidi kiwango hiko.


Drizzy alijitolea kutoa kiasi cha dola $ 996,631,90 kwa mashabiki na familia mbalimbali zenye changamoto za maisha katika video yake ya "God's Plan."

VIDEO
..

Drake anasema "ni jambo kubwa sana ambalo nimelifanya kwa wengine - na katika maisha yangu yote, kwa kweli. Sasa swali la dola milioni ... ni jinsi gani nitakavyofanya kutoa kiwango cha juu ya kitu kama hicho?"

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates

 

Post a Comment

0 Comments