Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JAN.29.2018 SAA 01:56 USIKU
Utaratibu wa kutangaza mapato kwa mechi kubwa za ligi kuu ya soka
Tanzania Bara,umerudi tena kwa shirikisho la soka hapa
nchini Tanzania.
Na utaratibu huo umeanzaia kwa mapambano yaliyopigwa weekend
hii,jumamosi Azam na Yanga na jumapili simba na majimaji.
BOFYA CHINI KUSIKILIZA
0 Comments