Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.NOV 9.2016 SAA 01:23 USIKU
Siku ya jana Novemba 8 kulifanyika maziko baada ya kifo cha Mwenyekiti wa Azam FC na Makamu
Mwenyekiti wa Bodi
ya Ligi Kuu, Sheikh Said Muhammad aliyefariki dunia Novemba
7, 2016 katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.
Taarifa za
kufariki dunia kwa Mzee Said Muhammad ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi
ya Ligi zimethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba aliyesema
kwamba alifariki dunia katika wodi ya Wagonjwa mahututi (ICU) hospitalini hapo
baada ya kuzidiwa ghafla nyumbani kwake.
ANGALIA PICHA
0 Comments