Ticker

6/recent/ticker-posts

SUNDERLAND WASAJILI WACHEZAJI WAWILI WA MANCHESTER UNITED

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 11,2016 SAA 12:51 JIONI
Paddy McNair (left) and Donald Love have signed permanent deals with Sunderland

Hii leo Sunderland wamekamilisha kuwasaini wachezaji wawili wa Manchester United Paddy McNair na Donald Love wametoa kiasi
cha £ 5.5m kwa pamoja.

Ni wachezajia ambao wote wanamiaka 21 wamesaini mkataba wa miaka minne na wanaunganisha tena muungano na bosi wa zamani wa United David Moyes .
McNair is thought to have been signed to play in midfield
Paddy McNair

Inafahamika nyota wa kimataifa wa Ireland ya Kaskazini McNair, alikuwa akitumika kwa kiasi kikubwa katikati akiwa na Old Trafford, na imesainiwa hasa kama kiungo wa kati wa Sunderland

Wakati huo huo Beki Donald Love, ameondoka United baada ya kucheza mechi mbili tu , zote akiwa chini ya Louis van Gaal msimu uliopita.
Love made just two first-team appearances for Man United
Donald Love

Moyes alisema: "Paddy ni kijana, mwenye mbio na ni mchezaji ambaye analeta matokeo wakati wote .Ana uzoefu katika taifa lake la Ireland ya Kaskazini na tunataka kuwaleta wachezaji wengi wa kimataifa katika klabu kama tunaweza..

"Donald amekuja kwa mapendekezo na n i mchezaji mwingine kijana ambapo wote nina matumaini wanaweza kuendeleza na kuboresha kalbu hii wakiwa hapa.


KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)



Post a Comment

0 Comments