Ticker

6/recent/ticker-posts

EXLUSIVE:MAVUGO WA SIMBA AFUNGUKA ATAKAPOKUTANA NA YANGA SC (AUDIO)

  Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 10,2016 SAA 10:05 JIONI

Mara baada ya kucheza mechi yake ya kwanza na Kikosi cha Simba,mchambuliaji mpya wa klabu hiyo Laudit Mavugo,alipata

nafasi ya kuzungumza na Jamii na Michezo katika mahojiano maalum.

Mavugo ambaye amepewa jina la Mavugoal ni raia wa Burundi alikuwa akiufanya uongozi wa klabu ya Simba uhahe kunasa sahihi yake,alikuwa anakipiga katika kikosi cha Vital’O.
Katika Mazungumzo na mtandao huu,Laudit Mavugo amezungumza matarajio yake akiwa na Simba Sc,pamoja na pale atakapokutana na Yanga Sc katika mchezo wa Ligi kuu  Tanzania bara.
 SIKILIZA HAPA 

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments