Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO:CESC FABREGAS ACHEZA FAULO MBAYA NA KUZAWADIWA NYEKUNDU,KOCHA CONTE AZUNGUMZA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JULY 28,2016 SAA 11:04 JIONI
Cesc Fabregas was sent off during the clash in California

Meneja wa Miitaliano wa Chelsea Antonio Conte ameomba radhi baada ya Cesc Fabregas kuzawadiwa kadi 'nyekundu
wakati wa mchezo wa siku ya jana Jumatano wa kirafiki na klabu ya Liverpool.


Bao la kichwa dakika ya 10 ya mchezo lililofungwa na Gary Cahill liliwawezesha Blues kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi Liverpool katika mchezo wa international Champions Cup huko California,licha ya kuwa pongufu baada ya dakika ya 70,baada ya kumchezea rafu mbaya beki wa Liverpool  Ragnar Klavan ,


Akizungumza kuhusu tukio hilo, Conte alisema: "nasikitika kwa hili na mchezaji atakayefanya kama yeye,nasema haikuwa bahati mbaya na mimi nasema samahani kwaniaba yake na samahani kwa mchezaji wa Liverpool..


"Nadhani kwamba katika kipindi hiki, uchovu wakati mwingine unaweza [kusababisha mchezaji] kufanya madhara. Najua Fabregas ni mtu mwema na yeye si mchezaji anayeweza kuwa na na hali ya aina hii.samahani kwa ajili yake na mimi nina pole kwa wachezaji wa Liverpool


ANGALIA VIDEO YA TUKIO


KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments