| Denis Richard Dioniz,kipa wa klabu ya simba aliyeko kwa mkopo katika klabu ya Geita Gold |
Kikao cha Kamati ya Rufaa ya Nidhamu kitafanyika Jumamosi Aprili 30, 2016 kuanzia saa 4.00 asubuhi kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),
jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kitajadili rufaa za timu, makocha, viongozi na wachezaji waliokata rufaa dhidi ya uamuzi wa Kamati ya Nidhamu baada ya kamati hiyo kuwatia hatiani na kuwaadhibu kwa makosa ya kupanga matokeo ya michuano ya Ligi Daraja la Kwanza.
Rufaa zitakazojadiliwa kwenye kikao hicho ni za:
- Timu ya Geita Gold
- Choki Abeid ambaye ni Kocha Msaidizi wa timu ya soka ya Geita Gold FC
- Denis Richard Dioniz - Kipa wa Geita Gold
- Fatel Rhemtullah – Katibu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Tabora
- Saleh Mang’ola – Mwamuzi wa Soka wa Mkoa wa Dodoma
- Timu ya Soka ya Polisi Tabora
- JKT Oljoro Fc ya Arusha
- Yusufu Kitumbo – Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
Nidhamu baada ya kamati hiyo kuwatia hatiani
na kuwaadhibu kwa makosa ya kupanga ma Nidhamu baada ya kamati hiyo kuwatia hatiani
na kuwaadhibu kwa makosa ya kupanga ma Nidhamu baada ya kamati hiyo kuwatia hatiani
na kuwaadhibu kwa makosa ya kupanga ma
0 Comments