Ticker

6/recent/ticker-posts

LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA JUMATANO,MECHI YA YANGA YAPELEKWA MBELE

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Apr.08,2016 SAA 08:19 MCHANA
Mchezo kati ya Young African dhidi ya Mtibwa Sugar uliokuwa uchezwe Jumatano ya April 6, 2016 umesogezwa
mbele na sasa utachezwa tarehe 16 Aprili 2016 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Jumatano ya Aprili 6, ligi kuu itaendelea kwa michezo miwili tu, Azam FC watakua wenyeji wa Ndanda FC katika uwanja wa Azam Complex Chamazi, huku Majimaji FC wakiwakaribisha Coastal Union kwenye uwanja wa Majimaji Songea.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments