Ticker

6/recent/ticker-posts

HAYA NI MAAMUZI YA KWANZA YA TFF BAADA YA TUHUMA ZA RUSHWA KWA WATENDAJI WAKE

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Apr.08,2016 SAA 06:56 MCHANA
President of Tanzania Football Federation
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF), Mwesigwa Selestine amemsimamisha Juma Matandika kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma zinazohusiana na hadhi za wachezaji (players status).
Juma Matandika
Hatua hii imechukuliwa kwa mujibu wa ibara ya 266,267 na 268 ya Kanuni za Utumishi za TFF toleo la mwaka 2015.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments