Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:AZAM FC WANUNUA NONDO MAALUM ZA KUIANGAMIZA BIDVEST

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.March.11,2016 SAA 03:14 USIKU

Wachezaji wa timu ya Azam FC walipofanya 'shopping' ya kununua spea mpya za kupambana na Bidvest Wits,
manunuzi hayo walifanyia katika eneo la kibiashara la Michelangelo Towers Mall nchini hapa Afrika Kusini asubuhi ya leo.

Baadhi ya picha zinaonyesha wachezaji wakiwa wameonyesha aina ya viatu walivyonunua kwa ajili ya mchezo huo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaofanyika keshokutwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Bidvest Wits kuanzia saa 1.00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

ANGALIA PICHA


CHANZO:PAGE YA FACEBOOK YA AZAM FC


KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments