miaka yake 10 ya utawala wake,pia alipata fursa ya kuongea na waandishi wa habari za michezo.
SIKIKILIZA KIPINDI
ANGALIA PICHA MBALIMBALI
MAJINA YA WACHEZAJI 10 WALIOPEWA TUZO KATIKA SHEREHE
YA TASWA)
A; WACHEZAJI BORA
1; Samson Ramadhan (riadha).
2; Martin Sulle (riadha)
3; Mary Naali (riadha)
4; Kikosi cha Taifa Stars kilichocheza
mechi za kufuzu CHAN 2009 (soka)
5; Mwanaid Hassan (netiboli)
6; Hasheem Thabeet (kikapu)
7; Timu ya Taifa ya gofu
wanawake iliyoshika nafasi ya pili mashindano ya Afrika yaliyofanyika Abuja,
Nigeria mwaka 2010.:
8; Twiga Stars:
9; Francis Cheka
10; Mbwana Samatta
Cio…
B;TUZO ZA VIONGOZI
1;
Jenerali mstaafu, George Waitara
2.
Kanali mstaafu, Idd Kipingu
3;
Dioniz Malinzi
4. Leodeger Tenga
5.
Abdallah Majura
C.TAASISI ZILIZOFANYA
UWEKEZAJI MKUBWA WA MICHEZO
1;
Said Salim Bakhressa Group
2;
Majeshi
D.TUZO YA HESHIMA
1;
Rais Jakaya Kikwete
0 Comments