Timu ya Taifa ya mchezo wa kuogelea imeondoka leo jioni Jijini Dar es Salaam kuelekea urusi kwa ajili ya mashindano ya kufuzu
michezo ya olympic ya mwaka 2016 Jijini Rio De jeneiro ncini Brazili.
Akizungumza katika hafla ya kuiaga timu hiyo Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa chama cha kuogelea Alex Moshi amesema kuwa timu ambayo inaindwa na wachezaji watatu, inatarajiwa kuchunjwa na kufikia wachezaji wawili kwa ajili ya michezo ya itakayofanyika mwakani nchini Brazili.
Kwa upande wa wachezaji wa timu ya Taifa ya kuogelea wamesema kuwa wanaamini kuwa katika michezo yao kufuzu nchini Urusi watafanya vizuri kutokana na kufanya maandalizi ya kutosha.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)




0 Comments