Ticker

6/recent/ticker-posts

CESAR AZPILICUETA AMEYASEMA MANENO HAYA JUU YA UBINGWA KWA CHELSEA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL .4,2015 SAA 11:25 JIONI
Chelsea full-back Cesar Azpilicueta in action against champions Manchester City earlier this season
Cesar Azpilicueta katika mchezo dhidi ya mabingwa  wa ligi Manchester City mapema msimu huu
Beki wa kushoto wa Chelsea Cesar Azpilicueta anasema klabu hiyo ina  "nafasi nzuri" kumaliza msimu huu kwa kushinda taji la Ligi Kuu.
Kikosi cha Jose Mourinho hii leo Jumamosi kinawakaribisha Stoke City katika uwanja wa Stamford Bridge,  kujua kama watashinda,  kuelekea  harakati zao za hatua moja kukaribia ubingwa.
Chelsea ambao wako katika nafasi ya kwanza, wako katika kampeni ya kunyakuwa ubingwa,kama vile wana maumivu ya kukosa taji hilo,lililochukuliwa na Manchester City msimu uliopita.
"Tumekuwa nafasi ya juu katika msimamo tangu siku nyingi," alisema Azpilicueta.
"Tunaendelea katika nafasi hiyo na ni wazi tuko katika wakati nzuri sana, kama vile baadhi ya walioko chini wako katika nafasi nzuri, lakini bado tutaendelea kuwa katika nafasi ya juu na hii ni nguvu ya timu".
"Unaweza kuwa juu au chini, lakini una kuwa unalenga shabaha na nadhani sasa sisi,tuko katika nafasi nzuri sana."
Hata hivyo, katika msimu wa mwaka ambapo idadi ya wachezaji wa Chelsea hawakupata kumulikwa, Azpilicueta kwa mara nyingine tena ame kuwa ni mmoja wa wachezaji wanaofanya vizuri wa Chelsea- na moja wa walioko katika nafasi ya ushindani zaidi katika timu.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments