Kikosi cha Yanga bado kipo katika mazoezi makali jijini Dar es es salaam ikiwa wanajiandaa na mchezo wao wa
marudiano siku ya Jumamosi tare 4 mwezi huu dhidi ya timu
ya Fc Platinum ya Zimbambwe.
marudiano siku ya Jumamosi tare 4 mwezi huu dhidi ya timu
ya Fc Platinum ya Zimbambwe.
Mchezo wa awali timu ya Yanga ilishinda kwa mabao 5-0 mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam,kwa hiyo inahitaji sare ya aina yeyote katika mchezo wa marudiano.
Yanga inatarajia kuondoka siku yeyote kabla ya siku ya ijumaa,na Jamii na Michezo imefanikiwa kuongea na kocha msaidizi wa Yanga charles boniface mkwasa 'master',ambaye ameulezea mchezo huo wamarudiano pamoja na maandalizi yao.
MSIKILIZE ZAIDI MKWASA

0 Comments