![]() |
| Mmoja wa watu ambao waliwai kukamatwa na Tiketi Feki akidhibitiwa |
Serikali imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika
matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Machi 3, 2015) jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Juma Nkamia mbele ya viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments