Uongozi wa klabu ya Yanga Umelitaka shirikisho la soka nchini TFF Kuipokonya klabu ya simba pointi tatu 3 ilizozipata katika
mchezo wake na Tanzania prisons mechi namba 125 baada ya kumchezesha mchezaji Ibrahim Hajib Migomba,ambapo klabu ya Yanga inasema mchezaji huyo alikuwa na kadi nne za njano katika michezo minne ya aliyocheza.
mchezo wake na Tanzania prisons mechi namba 125 baada ya kumchezesha mchezaji Ibrahim Hajib Migomba,ambapo klabu ya Yanga inasema mchezaji huyo alikuwa na kadi nne za njano katika michezo minne ya aliyocheza.
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo Mkuu wa kitengo cha habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Murro, amesema kuwa Barua iliyotolewa na Bodi ya ligi na kusainiwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Fatma Abdalah kuidhinisha kuanza kutumiwa kwa kanuni mpya ya kumruhusu mchezaji husika kuchagua mechi ya kucheza au kutocheza haikuwa sahihi kutokana na marekebisho hayo kutoanza kutumika.
Pia Jerry Murro amesema kuwa Uongozi wa Yanga umemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Fatma Abdalah kujiuzulu kutokana na kupindisha Sheria na taratibu za soka.
YANGA WANASEMA IBRAHIM HAJIB MIGOMBA ALIPATA KADI ZA NJANO NNE KATIKA MECHI ZIFUATAZO
MATCH DATE GAME STADIUM
17 4/10/2014 SIMBA -STAND UNITED TAIFA DAR-ES SALAAMYANGA WANASEMA IBRAHIM HAJIB MIGOMBA ALIPATA KADI ZA NJANO NNE KATIKA MECHI ZIFUATAZO
MATCH DATE GAME STADIUM
99 15/2/2015 POLISI MORO-SIMBA JAMUHURI-MOROGORO
108 22/02/2015 STAND UNT -SIMBA KAMBARAGE-SHINYANGA
125 28/2/2015 SIMBA - TZ PRISONS TAIFA -DAR-ES SALAAM
MSIKILIZE JERRY MURRO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments