Ticker

6/recent/ticker-posts

SABABU YA MWAKIBINGA KUONDOKA BODI YA LIGI

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.NOV.03,2014 SAA 12:358 JIONI
Silas Mwakibinga (kushoto)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Silas Mwakibinga ameondoka katika bodi hiyo kwa sababu ya
kumemaliza mkataba wake tangu Oktoba 31 mwaka huu. 



Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na TPLB wanamshukuru Mwakibinga kwa mchango wake kwa kipindi ambacho ameitumikia Bodi, na kumtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya huko aendako.


TPLB hivi sasa iko katika mchakato wa kupata Ofisa Mtendaji Mkuu mpya kwa ajili ya kuziba nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Mwakibinga baada ya muda wa mkataba wake kumalizika.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo ) 

Post a Comment

0 Comments